JINSI YA KUTENGENEZA LOGO KWA KUTUMIA MS PUBLISHER

Habari msomaji wa makala hii!! Natumai u mzima a afya.
Karibu katika makala hii ambapo nataka kukuelekeza jinsi ya kutengeneza logo (nembo) yako binafsi kwa kutumia Microsoft publisher. Njia hii ndio njia rahisi ambayo haina gharama yoyote kwani utatumia computer yako binafsi bila kutumia software ambazo zinakutaka kulipia kwanza ndipo uweze kupata features za kutengenezea logo yako.
                               
Kwahiyo nakuomba usome makala hii hadi mwisho ili uweze kuelewa na naimani utaweza kupata kile kilicho bora
HATUA ZA KUFUATA KATIKA KUTENGENEZA LOGO KWA KUTUMIA MS PUBLISHER
1.FUNGUA MICROSOFT PULISHER KWENYE COMPUTER YAKO.
Kama  umeshawasha computer yako, nenda kwenye Microsoft office uchague MS publisher. Chagua blank yoyote halafu unaenda create
Getting Started with Microsoft Publisher 2010
Microsoft Publisher 2010 is designed to help you create professional-looking publications quickly and easily. With Publisher, you can create, design, and publish professional marketing and communication materials for print, and for mail or e-mail merges. 
This article provides an overview of Publisher 2010, and provides links to more in-depth articles about specific tasks and features. If you already know Publisher and want information about what's changed, try the resources in the following table.

WHAT YOU WANT TO DO
WHERE TO GO

Just need to know what's changed?  
Read a comparison of features in Publisher. 
What’s new in Publisher 2010

Looking for training to help you get productive again?  
Get training for the new version.
Microsoft Office Training

Missing the menus?  
Use an animated guide that lets you point to commands in Publisher 2007 to see how to do them in Publisher 2010, or just look up the differences in an Excel workbook version of the guide.
Interactive command-mapping guides

2. CHAGUA TEMPLATE UNAYOTAKA KUTUMIA 
Ms publisher hutumika kwa matumizi mbalimbali. Sio kila template unaweza kuitumia katika kutengeneza logo, hivyo unatakiwa kuchagua template kulinga na mahitaji yako. Katika ms publisher kuna templates za kuchapisha magazeti, kutengeneza kadi,vipeperushi,majarida, matangazo na vitu vingine vingi. Hivyo watu wengi huchagua template ya kwanza kutokea unapofungua ms publisher.

3.UNATAKIWA KUWEKA RULER ZA VERTICAL NA HORIZONTAL

Ruler hizi zinapatikana hapahapa kwenye Ms publisher na ndizo zinazokusaidia kufix logo yako ikae katikati

4. NENDA KWENYE INSERT >>SHAPES 
Hapa ndio sehemu unayotakiwa kuwa mbunifu katika kuchagua vitu unavyotakiwa kuweka kwenye logo yako na kuifanya iwe na mvuto kwa watazamaji.
Kwahiyo hapa unatakiwa kutengeneza na kuiboresha logo yako ili iwe nzuri.

5.JINSI YA KUINGIZA TEXT (MANENO)

Ili logo iwe na mvuto na kuwatambulisha watu juu ya kile unachokifanya, aidha biashara, shule, kanisa au hata msikiti unatakiwa kuweka maneno katika logo ambayo yatakuwa yakitambulisha kazi yako.
Kuingiza maneno kwenye logo yako unatakiwa kwenda sehemu ya insert kasha chagua word art. Unatakiwa kuboresha maneno ili yafit kwenye shapes ulizochagua

6. SAVE LOGO YAKO

Kusevu logo yako,unatakiwa kuhighlight logo yote kwa pamoja kuanzia juu hadi chini kasha right click halafu unachagua save as picture. 
Baada ya kumaliza hatua hizi unaweza kuikopi logo yako sehemu yoyote unapotaka kuitumia



Ahsante!!!!!!!1!


Comments