Posts

Showing posts from June, 2020

JINSI YA KUTENGENEZA LOGO KWA KUTUMIA MS PUBLISHER

Habari msomaji wa makala hii!! Natumai u mzima a afya. Karibu katika makala hii ambapo nataka kukuelekeza jinsi ya kutengeneza logo (nembo) yako binafsi kwa kutumia Microsoft publisher. Njia hii ndio njia rahisi ambayo haina gharama yoyote kwani utatumia computer yako binafsi bila kutumia software ambazo zinakutaka kulipia kwanza ndipo uweze kupata features za kutengenezea logo yako.                                 Kwahiyo nakuomba usome makala hii hadi mwisho ili uweze kuelewa na naimani utaweza kupata kile kilicho bora HATUA ZA KUFUATA KATIKA KUTENGENEZA LOGO KWA KUTUMIA MS PUBLISHER 1.FUNGUA MICROSOFT PULISHER KWENYE COMPUTER YAKO. Kama  umeshawasha computer yako, nenda kwenye Microsoft office uchague MS publisher. Chagua blank yoyote halafu unaenda create Getting Started with Microsoft Publisher 2010 Microsoft Publisher 2010 is designed to help you create professional-looking publications quickly an...